Monday, July 30, 2012

OMMY DIMPOZ AVUTA GARI AINA YA RAV4 NEW MODEL



baada ya mtu mzima Diamond kuvuta gari aina ya Land Cruiser Prado yenye thamani ya shilingi milioni za kitanzania 60, rafiki yake wa karibu, ambae mara zote nikimkosa Diamond, nikimcheki yeye ujue atakua nae karibu, namzungumzia Ommy Dimpoz, nae amefata nyao kwa kujivutia gari aina ya Rav4 new model yenye thamani ya shilingi millioni 27.

No comments:

Post a Comment