Haya ndio Magari Mawili aina ya 'VOLKS WAGON AMAROK' yaliyonunuliwa na Mfanyabiashara maarufu nchini Said Bhakresa.
Pichani Juu na Chini ni Afisa
Mauzo wa Kampuni ya Alliance Autos (T) LTD inayouza magari hayo Bw.
Julius Guni(kushoto) akimkabidhi Funguo pamoja na Manual Book za magari
hayo mwakilishi wa mzee Bhakresa Bw. Omar Said kutoka Bhakresa Food
Products.
Bw. Omar Said katika pozi baada ya kukabidhiwa rasmi magari hayo.
Bw. Omar Said akichomeka funguo kuwasha moja ya magari hayo.
Mkurugenzi
mpya wa kampuni mpya ya Alliance Autos (T) LTD Bw. Alfred Minja
akiwajibika ofisini kwake kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa na
wateja wanapata taarifa za kutosha kuhusiana na kampuni hiyo pamoja na
magari wanayouza.
Kanpuni
hiyo imeanza kazi rasmi tarehe 1 Julai mwaka huu chini ya Mkurugenzi
huyo mpya na tayari leo tarehe 11 Julai wamefanikiwa kuuza magari mawili
aina ya 'VOLKS WAGON AMAROK
Pichani Juu na Chini ni Fundi
wa Kampuni ya Alliance Auto (T) LTD Bw. Dennis Dismas akifanya Services
ya Magari ya Wateja wa Kampuni hiyo kwa Teknolojia ya kisasa inayotumia
Kompyuta.
Mzigo wa kutosha wa magari
aina ya 'VOLKS WAGON AMAROK' katika yadi ya kampuni ya Alliance Autos
(T) LTD iliyopo barabara ya Pugu/Nyerere jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment