Tuesday, June 26, 2012

LEO NI SIKU YA MADAWA YA KULEVYA DUNIANI

Leo ilikuwa siku ya madawa ya kulevya duniani kote vijana wanashauriwa kutotumia madawa ya kulevya maana ndio madawa yanayowamaliza vijana wengi sana napia nguvu kazi ya jamii inapotea.

No comments:

Post a Comment