
Femcee kutoka Taylor Gang Lola Monroe ambae kwa sasa amefanya kila mtu kumuongelea all over, Pia kwa mistari yake mikali inayong’ata kama nyuki na mitindo huru ikiwa imelenga kuleta ushindani. Lola Monroe ametangaza kivuli cheusi juu ya ushindani na Pusha T kwenye single ya “Exodus 23:1 (Remix)” “Hawa Malaya wote ni uchafu/ Wasingeweza kuja kweli kama it fu**ed them” Ni baadhi ya lines ya Lola Monroe for Exodus 23:1. Remix copy right from djfetty.blogspot.com
No comments:
Post a Comment