Wednesday, June 27, 2012
NGWEAR AJIPANGA UPYA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo ambaye pia ni mkali wa mistari Albert Mangwea ‘Ngwair’, ameongea na eNewz juu ya mipango yake katika muziki na kutoa witokwamashabiki wake kukaa tayarikwa kazi zake mpya kabisa ambazo ameziweka wazi katika mahojiano.
Ngwea ambaye awali aliungana na wasanii Steve RnB, Edson William ‘Baby Boy’, Squeezer na Mzee Zahir Zorro katika kampuni moja ya burudani iliyokuwa ikiwasimamia wasanii hao, amesema kuwa ameamua kujipanga kivyake katika muziki huo na mashabiki watarajie mambo makubwa.COPY RIGHT BY EATV.TV/ENEWZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment