Monday, July 2, 2012

50 CENT KUTUA RASMI KWA SHOW YAKE MWEZI JULAI NCHINI UGANDA

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani anatarajiwa kuwasili Kampala nchini Uganda mwezi huu kwa ajili ya show zake za nchini humo gazeti maarufu la kenya limeandika. Kwenye habari yake gazeti hilo limedai kuwa mwanamuziki huyo atatua nchini humo kufanya show ambayo pia atasindikizwa na wasanii wa huko japo haikuwekwa wazi ni lini itafanyika na pia ni ukumbi gani unahusika na bado pia haijafahamika kama mwanamuziki huyu atafika nchi zote za Afrika Mashariki kama ilivyokuwa kwa safari zake za hapo nyuma.

No comments:

Post a Comment