Amber Rose ametengeneza tena vichwa vya habari baada ya kunaswa akiwa beachoney wake
Wiz Khalifa wakijienjoy Hawaii beach huku akiionyesha tattoo aliyoiita tattoo iliyouma kuliko zote alizowahi kuzichora mwilini mwake.Tattoo hiyo ni aliyoichora katika tumbo lake.
No comments:
Post a Comment