Saturday, October 29, 2011

NICOLE SHERZINGER SASA AMFUATA DRAKE

Imeripotiwa kuwa member wa pussycat doll Nicole mwenye miaka 33 anatoka na YMCMB Drake 26 baada ya kuachana na boyfriend wake siku chache zilizopita. ilikua uvumi lakini sasa imethibitiswa na mmoja wa mfanyakazi wa mgahawa waliotembelea jana usiku. mfanyakazihuyo wa cecconi restaurant amesema wawili hao walikuwa kwenye romantic dinner kwenyeprivate booth na kusepa kila mtu kivyake kuepuka mapaparazi

No comments:

Post a Comment