Friday, November 4, 2011
Deiwaka ent present burudani kwa mashabiki
KUHUSU SHOW YA VINEGA ILIYOKUWA TAREHE 5NOVEMBER,,,,,,,,,,,,,,SASA NI TAREHE 26 KWENYE VIWANJA VYA CHUO CHA USTAWI WA JAMII,,,PALEPALE KARIBIA NA SAYANSI,,,NANUKUU POST YASUGU JOSEPH MBILINYI TAARIFA KWA UMMA"TAARIFA: TUMEPELEKA MBELE CONCERT YAANTIVIRUS TOKA TAR 5 NA SASA ITAFANYIKA TAR26 NOV. KWENYE VIWANJA VYA CHUO CHA USTAWIWA JAMII KIJITONYAMA (Confirmed already!!)...HII NI KUTOKANA NA 'WANGA' KUTUBANIA UWANJAWA POSTA AMBAKO NDO TULIPANGA KUFANYACONCERT HII AWALI...NA ILIKUWA LAZIMA HIICONCERT IFANYIKE KWENYE VENUE YA NJE KWA KUWA TUNATUMIA BIG STAGE, BIG SOUND, WITH TOO MANY LIGHTS ON...!!!" MWISHO WA KUNUKUU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment