Thursday, November 3, 2011

NGOMA MPYA YA NAS 3,RICH BOI - ACHAAAA HII HAPA

HII NDO NYIMBO YETU RICCI BOI NA NAS 3TUKIMSHIRIKISHA SELEKTA ILIYORECORDIWAKATIKA STUDIO ZA DE FATALITY INAYOKWENDAKWA JINA LA ACHAAAaah!!
HUU NDO UJIO WETU mpya BAADA YA KUTOKA KWENYE MAKUNDI TULIOKUEPO (WAKACHA NA MEXICANA) NA KUAMUA KAKAA CHINI NA KUFANYAHII NGOMA KWA AJILI YA MA FANS...

No comments:

Post a Comment