ikiwa ni mara ya tatu mfululizo, the international artist from Tanzania Ambwene Yesaya (AY),ameng'ara tena kupitia tuzo za PAM ziilizofanyika Uganda weekend iliyopita. Kupitia katikakigombanio cha msanii bora wa kiume kutoka Tanzania, AY amewatupa kule kina , Belle 9,Diamond na Alikiba
No comments:
Post a Comment