Friday, June 29, 2012

Dk. MUKANGARA APATA AJALI

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara amepata ajali ya gari leo mchana baada ya kuchomekewa na basi katika eneo la Nzega, Mkoani Tabora

No comments:

Post a Comment