Friday, June 29, 2012
WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA KIGENI LA MISAADA WATEKWA KENYA
Wafanyakazi wanne wa shirika la kigeni la misaada na mkenya mmoja wametekwa kutoka katika kituo cha wakimbizi kinachoitwa Dadaab kilichpo karibu na mipaka ya somalia.
wakati wa sakata hilo dereva aliuawa na mpaka sasa wafanyakazi hao wanne hawajajulika ni wa kutoka taifa gani.
hii sio mara ya kwanza kutokea mwaka uliopita matukio kama haya yalijitokeza na kusababisha magrupu mengi ya wafanyakazi hao kuondoka katika kituo hicho kinachosemekana kuwa ni kituo kikubwa cha wakimbizi duniani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment