Wednesday, July 18, 2012

ONGERA KWA MADIBA KUFIKISHA MIAKA 94

Nelson Mandela''Madiba"
   Ongera kwa raisi mstaafu wa South Africa bwana Nelson Mandela au kwa jina lengine wanapenda kumuita Madiba kwa kufikisha umri wa miaka 94. Mungu mbariki huyu mzee na umpatie maisha marefu yakuishi hapa duniani maana ndio shujaa pekee aliyebaki hapa Africa.

No comments:

Post a Comment